Baadhi ya Miradi mbalimbali ambayo ilijengwa na SUMAJKT CONSTRACTION COMPANY LIMITED
Untitled Document
Jengo la Tume ya Uchaguzi (NEC)- DODOMA lililojengwa na kampuni ya Ujenzi ya SUMAJKT
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mh. Dr. John Pombe Magufuli akizindua jengo la Tume ya Uchaguzi, Jijini Dodoma ambalo limejengwa na SUMAJKT Construction Company Limited.
HOSTEL ZA WANAFUNZI CHUO KIKUU MZUMBE.
NYUMBA YA KATIBU WA BUNGE.
Untitled Document
Majengo ya nyumba za Gereza la Ukonga yalilojengwa na kampuni ya Ujenzi ya SUMAJKT
Jengo la kiwanda cha taa za Umeme lililopo Makao makuu ya SUMAJKT Mlalakua - DSM.
UJENZI WA BARABARA KWA KIWANGO CHA LAMI.
MAKAZI YA WAFANYAKAZI WA OFISI YA RAIS YALIYOJENGWA NA KAMPUNI YA UJENZI YA SUMAJKT/ MAKAZI HAYO YAPO KIJITONYAMA - DAR ES SALAAM