Karibu SUMAJKT Construction Company Ltd (SUMAJKT CCL)
SUMAJKT CCL ni moja ya Kampuni Tanzu za Shirika la Uzalishaji Mal la Jeshi la Kujenga Taifa. Kampuni hii inayojishughulisha na kazi za Ujenzi hapa nchini
DIRA
Kuwa Kampuni ya Umma ya Ujenzi inayoaminiwa kwa ukuaji wa Miundombinu Tanzania.
DHIMA
Kutoa Huduma na bidhaa za Ujenzi zinazokidhi viwango stahiki katika muda uliowekwa kwa kutumia Teknolojia muafaka.
TUNU
Weledi Uadilifu Uwazi Uwajibikaji Kazi pamoja
Kazi zinazotekelezwa na Kampuni ya Ujenzi ya SUMAJKT (SUMAJKT Construction Company Limited)